Vita vya Sudan vinaendelea kusababisha maelfu ya vifo na mamilioni ya watu kuyahama makazi yao huku mapigano kati ya jeshi la serikali na wanamgambo wa RSF yakizidi kuenea katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo.